Ezekiel 40:34

34 aBaraza yake ilielekea ukumbi wa nje, miimo yake ilinakshiwa miti ya mitende pande zote. Kulikuwa na ngazi nane za kupandia huko.

Copyright information for SwhNEN